Nov 28, 2013

NEW Video: Lolilo feat. Ali Kiba "MANENO MATAMU"

VIDEO: EBSS kutoa namna pesa ya mshindi itakavyo tumika, ni kutokana na malalamiko ya mashabiki, Check na hii Video

WAKATI tukielekea katika FINALE za mashindano hayo, mkakati mpya umetangazwa wa namna ya kutumiazawadi kwa mshindi. Madam Rita ameahidi kuwa pamoja na kuwa pesa atakayopata mshindi kuwa atatumia katika matumizimengine ya kujikimu, Steal atapangiwa na mna ya kutumia fedha hizo kujiendeleza kimuziki.

Lil Stiggar ft Chris Daniel - Stress Free {Official Video}

Nov 25, 2013

Check alivyoahidi AmmyChiba (Amina Chibaba) wa EBSS kuhusu yeye kufika alipo, ilikuwa Audition za Mbeya akilonga na Abby

Ammina Chibaba aliyeingia FINAL katika mashindano haya ya EBSS 2013, bado anahitaji kura yako ili kufanikisha alichokusudia.. VIDEO hii alikuwa anaongea na Abraham Abby NM wa ABRANGULA blog.. Checknayo kisha endelea kuandika KURA 03 kisha tuma kwenda namba 15530

Nov 20, 2013

NU Audio & Video: Kala Ft Nay Lee "WALE WALE"

DIAMOND Platnumz akanusha story zilizosambaa kuwa anatarajia kufanya show nchini Belgium Tar. 7

Katika ukurasa wake wa FaceBook, Diamond ameandika hivii...
!!! ATTENTION!!! kuna taarifa zinazidi kuenea kuwa Tareh 07/12/2013 eti nitakuwa na Show mjini Brussels nchini Belgium... taarifa hizi ni za UONGO! Yaani SIKWELI!! sina makubaliano na mtu wala kampuni yoyote kuhusu kufanya show Tareh hiyo nchini humo.... so Washabiki zangu pendwa tafadhari chunga msiibiwe, mimi sintokuwepo..

Nov 15, 2013

PICS:Hizi ni zaidi ya Catoon, EAC siisomi..

Mourad wa Azam: Siamini kuitwa TAIFA STARS


BEKI wa kati wa Azam FC, Said Mourad maarufu kama ‘Mweda’, amesema kuwa hakutarajia kabisa kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati akiichezea timu ya pili ya taifa.
Mourad ameeleza kuwa ameumia kifundo cha mguu ambacho aligongwa na Sure Boy, Salum Abubakar wa Azam, ambaye pia alichezea Taifa Stars.

Nov 12, 2013

VIDEO: Hope Samwel, ABUDU na huyu kaka katika mpya hii kutoka kwake, Enjoy da Video...

Anaitwa Mwinjilisti HOPE SAMWEL MWAMAKULA, Ni moja kati yaWaimbaji wa dini walowahi kuvuma na nyimo kama Uhimidiwe Jehova iliyokuwa katika Album yake iliyopita AMEKUONA.

Wimbo huu wa KUABUDU unaitwa BWANA YESU NAKUPENDA na hii ni VIDEO ya huo wimbo.. Bofya kitufe cha hapo katikat kuitazama...

Zifuatazo ni moja kati ya Picha zilizotokana na Video hiyo. Bofya STORY ZAIDI>> Kuziona.

Nov 11, 2013

NeyLee kapata SHAVU, anapiga ngoma moja na Kala Jeremiah, Video na Audio Date of 20th

Ni ngoma mpya ya Kala Jeremiah inaitwa WALEWALE, itatoka pamoja na Audio yake tarehe 20.11.2013. Stay Tuned...

NU VIDEO: Walter Chilambo "MiNiWako" (Official)

MSHINDI wa EBSS mwaka jana, Walter Chilambo, ambaye amevuma kwa vibao vyake vikali mwaka huu SIACHI na DORO, Kwa mara ya kwanza ameachia New Track wic Video "MI NI WAKO"
ENJOY da Good MUSIC.

Nov 10, 2013

Hii ni zaidi ya Catoon: 1st round VPL Imeeisha hivi

SIKU moja baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kumalizika, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limezipongeza timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo kutokana na kuonesha ushindani mkubwa.
Check na hii CATOON, Vinara walivyoshushwa na YANGA..

NU Track: Kutoka kwa Abdu Kiba "KABIBI"

Basi njoo Kabibi wangu, mimi kuimba nitaacha, wewe nndio chaguo langu usiseme noo, HAYO ni baadhi ya mashairi katika NU hit hiyo ya m2 mzima Abdu Kiba ambayo inakuja hivi karibuni kutoka Mazoo Rec.
Track hii tayari ina Cover 2, kuziona Bofya HAPA!!

NI PENZI: Kutokakwa Damian Soul Feat. Joh!


PIC: Hii ni kuhusu mechi iliyopita tuu

Hii ni kuhusu mechi iliyopita tuu, hakuna lolote la ziada nadhani kila kitu unakijua.

Etii: KASEJA huyu hapa Yanga, baada ya kunuka Simba, atapoka zaidi ya M


Yanga imeingia Mkataba wa miaka miwili na Juma Kaseja baada ya kutemwa Simba mwishoni mwa msim uliopita, kwa madai kiwango chake kimeshuka.

Nov 7, 2013

EERY DAY of ze Week: 1pm to 4pm 92.7Mhz


Stewart Hall: Kocha wa AZAM abwaga manyanga

STEWART ABWAGA MANYANGA: Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall ameachana na Klabu hiyo rasmi leo muda mfupi baada ya mechi na Mbeya City, uongozi wa Azam umeridhia kuondoka kwake, mwenyewe adai amepata timu nyingine ya kufundisha.

Comming Soon: Water Chilambo "MiNiWako" Video

Pic: Hii ni Zaidi ya Catoon: 07/11/2013 #TheCitizen

NU Video: Ney wa Mitego feat. Neyba "SALAM ZAO"

Kutoka kwa Ney wa Mitego, ngoma iliyozua gumzo kitaa, SALAM ZAO Video yakehii hapa... Ilikuwa noma baada ya mgogoro wake na Madam Rita ambapo ilitegemewa kuwa Ney angeweza kufikishwa katika vyombo vya sheria lkn hakupata woga kama kawaida yake.. Enjoy Good Music via AbraSon blog.

VIDEO: Toka kwenye kampuni ya MakeTee, SHARUBU ZA BABU ya Inspector Horoun hii hapa...

HUYU ndio msanii mpya chini ya D Banji


Msanii kutoka Nigeria anaye simamiwa na Kanye West kupitia Good Music D'Banj amewahi kusema kuwa anampango wa kuanza kutoa vipaji vipya nchini Nigeria na akipata msanii anaye mkubali atamsaidia.

NU: AdaMoe feat. Wasadikaya "HABARI HALALI"

Nov 6, 2013

Hawa ndio 6 waliobaki EBSS 2013, Endelea kumpigia kura mshiriki umpendaye ili kumuwezesha kushinda

Hawa ndio washiriki sita waliobakia kwenye EBSS. Endelea kumpigia kura mshiriki umpendaye ili kumuwezesha kushinda.