Oct 10, 2012

MPIGIE KURA WALTER CHILAMBO KTK BONGO STAR SEARCH

Jinsi ya kumpigia kura Walter Chilambo nenda katika uwanja wa kuandika meseji (sms) kisha Andika neno EBSS12 na utume kwenda namba 15530.

Gharama ya ujumbe huu kwa kila mtandao ni Tsh. 300/= na unaruhusiwa kutuma mara nyingi uwezavyo ili kumfanikisha zaidi..

For Mbeya, For TANZANIA.....