Dec 22, 2013

Bishop Joe: KUWENI NA HOFU YA MUNGU katika Kuumaliza mwaka huu na kuanza vema mwaka 2014


WANANCHI wametakiwa kuwa na hofu ya Mungu katika kipindi hiki cha kuumaliza na kuuanza mwaka mpya wa 2014 kwa kudumisha amani na utulivu ili kuvuka kwa usalama.

Wito huo umetolewa na Askofu wa makanisa ya Bread of Life, Joe Imakando, wakati akiongea na Highlands FM katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya.

Askofu Imakando ameeleza kuwa watu wanatakiwa kuwa karibu na huduma za kidini ili kuimarisha amani na usalama katika kipindi hiki na kusema kuwa watu wanatakiwa kulinda amani yao wao wenyewe.

Pia amesifia uongozi wa kisiasa na serikali ya nchi ya Tanzania kwa kusema kuwa ni bora kwani wanatatua matatizo yao bila ya kusababisha uvunjifu wa amani.

Dec 14, 2013

New TOYOTA ALTEZZA hii hapa, 7.5 Millon


TOYOTA ALTEZZA
car on the road: 7 500 000 tsh (not negotiable)
Mileage 72,842
Model Code GF-SXE10
Registration
Year/month 1999/6
Manufacture
Year/month 1999/6 
Version/Class RS200
Chassis # SXE10-0026649
Engine Size 1,990cc
Engine Code 3S
Drive -
Ext. Color Silver
Steering Right
Transmiss. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5
Doors 4

Sometimes Think about T @#$%$$#$%%*) #!@#$%


DIAMOND PLATUNUMZ: Asanteni kwa kuwa nami ktk #CokeStudioAfrica


KATIKA ukurasa wake wa FaceBook Diamond Platnumz ameandika hivii.....
Asanteni sana kwa kuungana nami kwenye Coke Studio Africa 
Watch out for the NEW videos ambazo watazitoa hivi karibuni. Asanteni tena sana!

Dec 6, 2013

Maswali ya Mike Tee facebook: kauliza kipi bora kati ya hivi


Maswali ya facebook: Mike Tee kauliza kipi bora kati ya hivi?

MKE/MME MWEMA ATAKAE KUPENDA NA KUKUTHAMINI LAKINI UKAWA HUNA PESA.  AU UWE NA PESA LAKINI UKAKOSA MKE/MME MWENYE MAPENZI YA DHATI?

Dec 5, 2013

HISTORIA: Mandela tangu kuzaliwa hadi kufariki dunia, Pumzika kwa amani, 1918 - 2013


Mzee Nelson Mandela aliyefariki dunia usiku wa 05/12/2013, alizaliwa mwaka 1918 na hatimaye kuwa rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini baada ya kuongoza mapambano ya muda mrefu dhidi ya utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Mandela ambaye nchini Afrika Kusini anajulikana kwa jina la MADIBA, alifungwa jela kwa kipindi cha miaka 27 katika kisiwa cha Robben kutokana na harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi na kupigania uhuru wa nchi ya Afrika Kusini.
Baada ya kuachiwa kwake huru Februari 11 mwaka 1990 alihamasisha siasa za amani na suluhu, suala ambalo lilirahisisha mchakato wa kuiondoa Afrika Kusini katika utawala wa wazungu wachache na kuelekea kwenye demokrasia.