Nov 12, 2013

VIDEO: Hope Samwel, ABUDU na huyu kaka katika mpya hii kutoka kwake, Enjoy da Video...

Anaitwa Mwinjilisti HOPE SAMWEL MWAMAKULA, Ni moja kati yaWaimbaji wa dini walowahi kuvuma na nyimo kama Uhimidiwe Jehova iliyokuwa katika Album yake iliyopita AMEKUONA.

Wimbo huu wa KUABUDU unaitwa BWANA YESU NAKUPENDA na hii ni VIDEO ya huo wimbo.. Bofya kitufe cha hapo katikat kuitazama...

Zifuatazo ni moja kati ya Picha zilizotokana na Video hiyo. Bofya STORY ZAIDI>> Kuziona.

HII NI ALBUM YAKE ILIYOPITA..
FANYA HIVI KUENDELEZA KIPAJI..