Nov 7, 2013

Stewart Hall: Kocha wa AZAM abwaga manyanga

STEWART ABWAGA MANYANGA: Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall ameachana na Klabu hiyo rasmi leo muda mfupi baada ya mechi na Mbeya City, uongozi wa Azam umeridhia kuondoka kwake, mwenyewe adai amepata timu nyingine ya kufundisha.