Nov 10, 2013

Etii: KASEJA huyu hapa Yanga, baada ya kunuka Simba, atapoka zaidi ya M


Yanga imeingia Mkataba wa miaka miwili na Juma Kaseja baada ya kutemwa Simba mwishoni mwa msim uliopita, kwa madai kiwango chake kimeshuka.
Baadaya miezi minne, Kaseja alipojiridhisha kuwa Simba hawana haja naye, akairudia moja ya ofa alizopewa baada ya kutemwa Msimbazi na hiyo si nyingine bali ni ya Yanga ambapo amepewa Sh. Milioni 40 na atakuwa anapata mshahara wa zaidi ya Sh. Milioni 1 kwa mwezi.
KASEJA AKIWA KAZINI