Nov 20, 2013

DIAMOND Platnumz akanusha story zilizosambaa kuwa anatarajia kufanya show nchini Belgium Tar. 7

Katika ukurasa wake wa FaceBook, Diamond ameandika hivii...
!!! ATTENTION!!! kuna taarifa zinazidi kuenea kuwa Tareh 07/12/2013 eti nitakuwa na Show mjini Brussels nchini Belgium... taarifa hizi ni za UONGO! Yaani SIKWELI!! sina makubaliano na mtu wala kampuni yoyote kuhusu kufanya show Tareh hiyo nchini humo.... so Washabiki zangu pendwa tafadhari chunga msiibiwe, mimi sintokuwepo..