Nov 7, 2013

HUYU ndio msanii mpya chini ya D Banji


Msanii kutoka Nigeria anaye simamiwa na Kanye West kupitia Good Music D'Banj amewahi kusema kuwa anampango wa kuanza kutoa vipaji vipya nchini Nigeria na akipata msanii anaye mkubali atamsaidia.
Well People hichi kichwa cha kwanza kupewa msaada na msanii huyu wa kimataifa D'Banj atamsimamia msanii  Tonto Dike na muziki wake huku akihakikisha anakuwa star mkubwa wa muziki nchini Nigeria na nje. Haya D Tunasubiri.