Nov 2, 2013

EXCLUSIVE: Matokeo Darasa la SABA 2013 haya hapa! Standard 7 2013 Exams Results Here...

Kuangalia matokeo haya bofya HAPA kisha fuata MKOA wako, then Wilaya unayoitaka. halafu utachagua shule na kuona majina katika mtandao wa NECTA.

Nov 1, 2013

Jamaa aliyebaka SouthAfrika, JELA maisha..

Mwanamume mmoja nchini Afrika Kusini aliyepatikana na hatia ya ubakaji na mauaji ya msichana mwenye umri wa miaka 17 amepewa hukumu mbili za maisha jela na mahakama moja viungani mwa mji wa Cape Town.
Viongozi wa mashitaka walitaka mshukiwa Johannes Kana afungwe jela maisha bila dhamana ikiwa Afrika Kusini ni nchi mojawapo yenye visa vingi vya ukatili wa kijinsia duniani.Marehemu Anene Booysen alifariki mwezi Februari , masaa kadhaa baada ya kuuawa kinyama katika kesi ambayo imewaghadhabisha wengi.

12 Pics: CAR 4 SALE, Gari ya kutembelea hii hapa, 16. Mil only MPYAAA! Inaingia Tzee next week..

CAR COME NEXT WEEK OUT OF THE PORT
COME PAY AND DRIVE!!!
SUZUKI ESCUDO 2004
Year 2004, 217 000 km, silver, 4WD

PRICE: 16, 200, 000 Tsh,
THE FIRST PEOPLE WHAT COME IN THE OFFICE, GET THIS CAR!!!! WE DON'T RESERVATION THIS CAR!!! Bofya kitufe cha STORY ZAIDI hapo chini Kucheck picha zaidi..

PICHA: Check na Mpya hii 4rm Wedding doves 2013

Wasiliana nasi kupitia T: 0713 533 938

NU Audio: WaKaZi "Wanawake wa Dar" (Love Hate Freestyle) Chek na atakayekufaa..

NU VIDEO: R.O.M.A Mkatoliki "2030" (Official)

Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki na wapenzi wa muziki wa Bongo Flavour imetoka, ni 2030 ya R.O.M.A ambayo track yake imekuwa GUMZO kita mpaka NOW  ukiiskiza lazima ukae na kufikilia huyu jamaa kawaza nini na kwa nini anakosa WOGA.
Angali hapa kupitia AbraSon blog hapa!

VIDEO: Huyu ndio mtoto mwenye hisia, anaelia kila akiimbiwa huu wimbo, video yake imetazamwa zaidi ya mara milioni 15

Kutokana na udogo wa huyu mtoto na jinsi hisia zinavyomteka mpaka kuanza kutoa machozi kutokana na mama yake kuimba nyimbo ndio kilichofanya kila mmoja akimbilie kuitazama video hii na kufikia kutazamwa zaidi ya mara milioni 15 na laki 8 toka imewekwa October 18 2013.

NU AUDIO: Cindy Rulz "LETS WAIT" Skiliza hapa

Hatimaye ile ngoma tuliyokuwa tukiisubiri kwa hamu kutoka kwa female rapper maarufu kama Cindy Rulz inayoitwa "LETS WAIT", ambayo amemshirikisha producer Dunga imeshatoka tayari.

Chukua dakika zako chache za kuweza kuisikiliza ngoma hii hapa chini.

Oct 17, 2013

MUHTASARI WA HABARI JANA HIGHLANDS FM


Mkazi wa kijiji cha malangali wilaya ya rungwe mkoani mbeya  maiko williad ameuawa kwa kukatwa mapanga kichwani na kisha mwili wake kutupwa msituni.

HII NDIO ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA BET HIP HOP.. Kendrick Lamar kasepa na Tuzo 5

Kendric Lamar ameongoza kwa kuchukua Tuzo 5 katika Tuzo za Hip Hop za BET mwaka 2013
Orodha Ya Washindi Na Tuzo Ziko Hapa:

Jul 25, 2013

Again and Again. EBSS 2013 This is KHALIFA JUMA

Nawashukuru sana watu wangu walonipa MOYO  hadi kushiriki EBSS Mbeya mwaka huu na nimefanikiwa kupita round 2 za kwanza na sasa nasubiri safari ya kwenda Dar kwa ajili ya kukutana na wengine 49 kukamilisha top 50 ili kuendelea na mashindano hayo.. Hayo ni maneno ya Khalifa Juma baada ya kupita kwa Mbeya...

Jan 31, 2013

PRESS PLAY - Djchoka ft. Mrap, Gosby, Vanessa, Mabeste & Deddy - {Official Video)

Inawezekana ni kwa sababu huyu jamaa mwenye hii Video (Dj Choka) ni m2 wa mitandao sana, lakini hii ni moja kati ya Video inayoendelea kuangaliwa sana ktk mtandao. Angalia Presds play hapa kwa ku'Press Play hapo kati...


Jan 28, 2013

"Nanje ndagukunda" New track kutoka kwa Linias wa EBSS

Mshiriki wa EBSS 2012 Linias Mhaya ameachia wimbo wake wa kwanza unaitwa Nanje ndagukunda, angalia video hii ya Wimbo huo na Lyrics zake.

Jan 21, 2013

NU Video: Hemedy PHD - Going crazy

Hemedy Suleiman baada ya kuachia ngoma yake mpya mwaka jana inayokwenda kwa jina la Going Crazy kutoka B hits alisema anatarajia kuachia video yake siku ya Valentine day lakini leo ipo hewani. Tizama Video hiyo kwa kubofya hapo katikati..

JUMATANO HII NGOMA MPYA

Tweet ya Ngwair iliyoonyesha Cover ya wimbo huo
Izzo B anatarajia kutambulisha wimbo mpya Juma tano hii na itakuwa ngoma yake ya kwanza kwa mwaka 2013 iitwayo Ball Player ambayo amemshirikisha Mangwair na Quick Rocka, Ngoma hiyo imetengenezwa na Nahreel na Lamar. Tuangalie mwana HipHop Huyu anakuja vipi dis Year..