Oct 17, 2013

MUHTASARI WA HABARI JANA HIGHLANDS FM


Mkazi wa kijiji cha malangali wilaya ya rungwe mkoani mbeya  maiko williad ameuawa kwa kukatwa mapanga kichwani na kisha mwili wake kutupwa msituni.
Rais wa tanzania jakaya kikwete anatarajia kuuzindua rasmi mkoa wa njombe oktoba 18 mwaka huu.

Mkuu wa wilaya ya maswa, luteni mstaafu, abdalah kihato, amewaagiza viongozi wilayani humo kuhakikisha kuwa wananchi wanafuata kanuni za usafi wa mazingira ili kutimiza malengo ya kuuweka mji huo katika hali ya usafi.