Oct 31, 2013

Ujio mpya wa Baby Madaha katika Filam ya Kiswahili

Baby Madaha anategemea kuja na FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la THE GAL BLADDER..
Filamu hiyo inaweza kuachiwa hivi karibuni. BABY MADAHA amekuwa katika HeadLines mfululizo kwa siku za karibuni kutokana na mambo mengi anayoyafanya...
kitu kinachoashiria kuwa ni Matunda ya mkataba wake na Candy n Candy (Label ya Kenya aliyopo).

Hivi karibuni msanii huyu amezindua begi ndogo za kubebea Zawadi "GiftBag" zenye picha yake, na amesema kuwa mradi wake utakaofuata ni wa kuja na vifaa vya watoto kama TOYS.