Jan 21, 2013

JUMATANO HII NGOMA MPYA

Tweet ya Ngwair iliyoonyesha Cover ya wimbo huo
Izzo B anatarajia kutambulisha wimbo mpya Juma tano hii na itakuwa ngoma yake ya kwanza kwa mwaka 2013 iitwayo Ball Player ambayo amemshirikisha Mangwair na Quick Rocka, Ngoma hiyo imetengenezwa na Nahreel na Lamar. Tuangalie mwana HipHop Huyu anakuja vipi dis Year..