Sep 1, 2012

AADHIBIWA NA WANANCHI BAADA YA KUMCHOMA KISU MWENZAKE

Jamaa huyu ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja akiwa hoi katika stendi kuu ya mabasi mjini Moshi baada ya kutembezewa kipigo na wananchi wenye hasira kali.

Hali hii ilikuja baada ya jamaa huku kusadikiwa kumchoma mwenzake kisu cha tumboni.

Aliokolewa na polisi waliofika weneo la tukio kwani ilikuwa sio mbali na kituo cha polisi na kuita gari ili kumpeleka hospitali.

Kamanda wa polsi, Robert Boaz, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.