Nov 3, 2013

NU Tack: Shabiki wa Noorah inakuhusu hii

Time yoyote kutoka sasa brand new single ya Noorah itaanza kusikika kwenye airwavez baada ya mkali huyu kukaa kimya kwa muda kutokana pia na maombolezo ya mwana chamber mwenzake marehem Albert Mangweha.
Noorah ameamua kurudi kwenye game ambapo anatambulisha single yake mpya inaitwa ‘acha ushamba’ ambayo amemshirikisha Duly Sykes na Chege kupitia mikono ya Producer Mbezi.