Sep 2, 2012

BEN POL KUFANYA VIDEO SOUTH AFRICA

Msanii Ben Pol amesema kua atafanya video yake mpya ya wimbo wa Pete South Africa kama alivyofanya Ommy Dimpoz.

Pia video hiyo itafanywa na Ogopa Deejayz wa nchini Kenya au kama sio hao basi ni Adam Juma wa Next Level wa Tanzania..