Nov 22, 2012

IZZO B, BAADA YA DUKA LA NGUO SOWETO NOW NI STATIONARY PANDE ZA TEKU

Baada ya kufungua bonge la duka maeneo ya Soweto mkoani Mbeya, now dayz Izzo Buzness atafungua Internet Cafe na Stationary karibu na chuo kikuu cha TEKU Mkoani Mbeya.