![]() |
Mshindi wa pili Salma akiwa jukwaani kuonyesha uwezo wake |
![]() |
Mada akimuweka sawa jaji Master J. |
![]() |
Baada ya Washiriki 2 kutoka wakabaki Top 3, Yeye, Salma na Wababa. |
![]() |
Ben Pol akimtuza Walter wakati akiimba nyimbo yake-Nikikupata. |
![]() |
Wakisubiri kutangazwa mshindi baada ya kubaki wa2. |
![]() |
CCO wa Zantel akitaka kutaja MSHINDI. |
![]() |
Hii ndio top 5 iliyoperfom jana. |
![]() |
Madam akimjaji Walter |
![]() |
Baada ya kutangazwa mshindi, Walter ali... ni hisia za kutoamini |
![]() |
Alishikiliwa akikabidhiwa huku mchozi ukimshuka. |
![]() |
Akikabidhiwa zawadi, hata hakuamini machozi tuu. |
![]() |
Kumbe alipendwa sana tukiachana na mbwembwe za yule. |
![]() |
Washereheshaji. |
![]() |
Shabiki walikuwa nyomi. |
![]() |
Walter akirushiwa pesa jukwaani |
![]() |
Walter alipopanda stage na Ditto. |