WAANDISHI na Wanachi mkoani Mbeya
wamelaani vikali Mauaji ya Mwandishi wa habari wa Iringa Daudi Mwangosi,aliyeuwawa Janai katika vurugu zilizotokea
katika kijiji cha Nyororo mkoani humo.
Marehemu
Mwangosi ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Klabu yawaandishi wa habari mkoa wa
Iringa pia alikuwa akifanya kazi katika kituo cha Chanel Ten aliuawa wakati
akiripoti vurugu zilizotokea kijijini hapo baina yaChadema na Polisi.
Huyu ni Mwenyekiti wa Chama Cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya, Christopher Nyenyembe.