Dec 13, 2013
ELIMU: Dhana potofu kuhusu vyakula na kisukari
Kuwa na elimu sahihi kuhusu maradhi ya kisukari kwa wagonjwa wa kisukari na watu wasio wagonjwa ni njia madhubuti ya kuyakabili maradhi hayo... Makala hii yatabainisha mambo yanayotafsiriwa vibaya baina ya vyakula na maradhi ya kisukari.
Dawa pekee hazidhibiti kisukari..
Baadhi ya watu wanaamini kuwa...
Dec 6, 2013
Maswali ya Mike Tee facebook: kauliza kipi bora kati ya hivi
Maswali ya facebook: Mike Tee kauliza kipi bora kati ya hivi?
MKE/MME MWEMA ATAKAE KUPENDA NA KUKUTHAMINI LAKINI UKAWA HUNA PESA. AU UWE NA PESA LAKINI UKAKOSA MKE/MME MWENYE MAPENZI YA DHATI?
Dec 5, 2013
HISTORIA: Mandela tangu kuzaliwa hadi kufariki dunia, Pumzika kwa amani, 1918 - 2013
Mzee Nelson
Mandela aliyefariki dunia usiku wa 05/12/2013, alizaliwa mwaka 1918 na
hatimaye kuwa rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini baada ya kuongoza
mapambano ya muda mrefu dhidi ya utawala wa kibaguzi wa makaburu.
Mandela ambaye nchini Afrika
Kusini anajulikana kwa jina la MADIBA, alifungwa jela kwa kipindi cha miaka 27
katika kisiwa cha Robben kutokana na harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi
na kupigania uhuru wa nchi ya Afrika Kusini.
Baada ya kuachiwa kwake huru Februari 11
mwaka 1990 alihamasisha siasa za amani na suluhu, suala ambalo lilirahisisha
mchakato wa kuiondoa Afrika Kusini katika utawala wa wazungu wachache na
kuelekea kwenye demokrasia.
Dec 4, 2013
Dec 3, 2013
Dec 2, 2013
Nov 28, 2013
VIDEO: EBSS kutoa namna pesa ya mshindi itakavyo tumika, ni kutokana na malalamiko ya mashabiki, Check na hii Video
WAKATI tukielekea katika FINALE za mashindano hayo, mkakati mpya umetangazwa wa namna ya kutumiazawadi kwa mshindi. Madam Rita ameahidi kuwa pamoja na kuwa pesa atakayopata mshindi kuwa atatumia katika matumizimengine ya kujikimu, Steal atapangiwa na mna ya kutumia fedha hizo kujiendeleza kimuziki.
Nov 27, 2013
Nov 25, 2013
Check alivyoahidi AmmyChiba (Amina Chibaba) wa EBSS kuhusu yeye kufika alipo, ilikuwa Audition za Mbeya akilonga na Abby
Ammina Chibaba aliyeingia FINAL katika mashindano haya ya EBSS 2013, bado anahitaji kura yako ili kufanikisha alichokusudia.. VIDEO hii alikuwa anaongea na Abraham Abby NM wa ABRANGULA blog.. Checknayo kisha endelea kuandika KURA 03 kisha tuma kwenda namba 15530
Nov 24, 2013
Nov 20, 2013
DIAMOND Platnumz akanusha story zilizosambaa kuwa anatarajia kufanya show nchini Belgium Tar. 7
Katika ukurasa wake wa FaceBook, Diamond ameandika hivii...
!!! ATTENTION!!! kuna taarifa zinazidi kuenea kuwa Tareh 07/12/2013 eti nitakuwa na Show mjini Brussels nchini Belgium... taarifa hizi ni za UONGO! Yaani SIKWELI!! sina makubaliano na mtu wala kampuni yoyote kuhusu kufanya show Tareh hiyo nchini humo.... so Washabiki zangu pendwa tafadhari chunga msiibiwe, mimi sintokuwepo..
Nov 19, 2013
Nov 15, 2013
Mourad wa Azam: Siamini kuitwa TAIFA STARS
BEKI wa kati wa Azam FC, Said Mourad maarufu kama ‘Mweda’,
amesema kuwa hakutarajia kabisa kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya
Tanzania, Taifa Stars, baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati akiichezea timu
ya pili ya taifa.
Mourad ameeleza kuwa ameumia kifundo cha mguu ambacho aligongwa
na Sure Boy, Salum Abubakar wa Azam, ambaye pia alichezea Taifa Stars.
Nov 14, 2013
DIAMOND Platnumz Kwenda JELA kisa MAMA yake mzazi, PIA Soma kuhusu kwenda kwa mganga
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul "Diamond Platnumz" amefunguka kuwa yuko tayari kwenda jela kama atatokea mtu yoyote akamchezea au kumdhalilisha kwa namna yoyote mama yake mzazi Bi.Sanura Kassim.
Kama huwa unakusa tym ya kuangalia EBSS 2013, angalia vipindi vyote hapa hadi waloingia FINAL
Kama huwa unakusa tym ya kuangalia EBSS 2013, angalia vipindi vyote hapa hadi waloingia FINAL
Nov 12, 2013
VIDEO: Hope Samwel, ABUDU na huyu kaka katika mpya hii kutoka kwake, Enjoy da Video...
Anaitwa Mwinjilisti HOPE SAMWEL MWAMAKULA, Ni moja kati yaWaimbaji wa dini walowahi kuvuma na nyimo kama Uhimidiwe Jehova iliyokuwa katika Album yake iliyopita AMEKUONA.
Wimbo huu wa KUABUDU unaitwa BWANA YESU NAKUPENDA na hii ni VIDEO ya huo wimbo.. Bofya kitufe cha hapo katikat kuitazama...
Zifuatazo ni moja kati ya Picha zilizotokana na Video hiyo. Bofya STORY ZAIDI>> Kuziona.
Nov 11, 2013
NeyLee kapata SHAVU, anapiga ngoma moja na Kala Jeremiah, Video na Audio Date of 20th
Ni ngoma mpya ya Kala Jeremiah inaitwa WALEWALE, itatoka pamoja na Audio yake tarehe 20.11.2013. Stay Tuned...
NU VIDEO: Walter Chilambo "MiNiWako" (Official)
MSHINDI wa EBSS mwaka jana, Walter Chilambo, ambaye amevuma kwa vibao vyake vikali mwaka huu SIACHI na DORO, Kwa mara ya kwanza ameachia New Track wic Video "MI NI WAKO"
ENJOY da Good MUSIC.
Nov 10, 2013
Hii ni zaidi ya Catoon: 1st round VPL Imeeisha hivi
SIKU moja baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kumalizika, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limezipongeza timu 14 zinazoshiriki ligi hiyo kutokana na kuonesha ushindani mkubwa.
Check na hii CATOON, Vinara walivyoshushwa na YANGA..
Subscribe to:
Posts (Atom)

























